Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Milton wa Yanga asepa kwao

Milton Nienov Yanga.jpeg Kocha Milton wa Yanga asepa kwao

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wetu wa maipa Milton Nienov ameondoka nchini Tanzania kuelekea kwao nchini Brazil kwa ruhusa maalumu Kutoka kwa Uongozi kwenda kushughulikia matatizo ya kifamilia.

Akithibitisha safari ya kocha Milton Nienov mtendaji mkuu wa Yanga Andre mtine amesema kocha Milton Nienov aliomba ruhusa kwenda kwako Brazil kwa ajili ya kushughulikia matatizo ya familia yake.

Sisi kama Uongozi tumpa likizo fupi ya muda wa mwezi mmoja na atarudi nchini Tanzania tarehe 16.1.2023 kuendelea na kazi yake Kama kawaida.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live