Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Medeama akiri ubora wa Yanga

Kocha Mkuu Wa Medeama,Evans Augustin..jpeg Kocha Mkuu wa Medeama,Evans Augustin

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa klabu ya Medeama Evans Augustin amesema anaijua vizuri Yanga na ameifuatilia na kukiri kuwa timu hiyo inacheza vizuri lakini yeye atacheza kwa kuwaheshimu.

Kocha wa klabu ya Medeama Evans Augustin amesema anaijua vizuri Yanga na ameifuatilia na kukiri kuwa timu hiyo inacheza vizuri lakini yeye atacheza kwa kuwaheshimu. Yanga ina saka alama tatu (3) za kwanza baada ya michezo miwili (2) iliyopita kuambulia alama moja pekee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: