Kocha wa Mashujaa FC Abdallah Mohamed Bares amesema licha ya ubora wa Yanga SC lakini wamejipanga kupata ushindi ili kuheshimisha mkoa wa Kigoma na kuhakikisha timu yao inasalia kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu 2024-2.5
Kocha wa Mashujaa FC Abdallah Mohamed Bares amesema licha ya ubora wa Yanga SC lakini wamejipanga kupata ushindi ili kuheshimisha mkoa wa Kigoma na kuhakikisha timu yao inasalia kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu 2024-2.5 Bares amesema tutaingia kwa kuwaheshimu lakini licha ya udogo wetu lakini wanapaswa kutupa heshima yetu na sisi tunahitaji alama 3 za mchezo maana tunataka kuheshimisha mkoa wa Kigoma maana wanataka kuona timu yao inabaki ligi kuu na kwetu kila mchezo kupata ushindi ili tusalie kwenye nafasi nzuri ndani ya msimamo wa ligi.