Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Mashujaa: Uchovu wa safari umetuponza

Baresi Baresi Kocha wa Mashujaa FC, Mohamed Abdallah Baresi

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye mahojiano, Kocha Mkuu wa klabu ya Mashujaa Mohamed Bares akiwa mbele ya waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Mashujaa kocha wa Mashujaa.

Mohamed Abdallah Baresi amesema kuwa chanzo cha timu yake kupoteza mchezo wa leo ni Uchovu wa safari.

Mashujaa wamefika Shinyanga Jana wakitokea Lindi ambako walicheza mchezo dhidi ya Namungo septemba 30,2023 ambao walipata sare na leo wamecheza mchezo huo dhidi ya JKT Tanzania ambao wamepoteza kwa bao 1-0.

Je, Sababu yake ina mashiko ? Ama tuachane nayo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live