Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Man United awindwa Bayern Munich

Ralf Rangnick Bayern Ralf Rangnick

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bayern Munich wamefanya mazungumzo na kocha wa zamani wa Manchester United, Ralf Rangnick kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel atakayeondoka baada ya msimu kuisha.

Klabu ya Bayern Munich wamefanya mazungumzo na kocha wa zamani wa Manchester United, Ralf Rangnick kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel atakayeondoka baada ya msimu kuisha. Sky Germany imeripoti taarifa hiyo ikisema na kocha wa Brighton, Roberto De Zerbi nae anatajwa kuwaniwa na timu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live