Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Man United anamtaka huyu..!

Tottenham Hotspur Wanataka Kumsajili Beki Wa Chelsea Trevoh Chalobah Trevoh Chiloba

Sat, 1 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United wanafikiria kumnunua beki wa kati wa Chelsea Muingereza Trevoh Chiloba kwa ada ya Euro Millioni 25 katika dirisha kuwa baaada ya kumalizika msimu huu.

Kocha Erick Ten Hag amependekeza uchaguzi huo kwani majeraha katika nafasi ya ulinzi yamekuwa moja ya tatizo kubwa sana kwake hususani msimu uliopita, pia kuondoka kwa Raphael Varane kumefanya kikosi kuwa na upungufu katika safu ya ulinzi wa kati.

Pia, United inataka kufuata mbinu za vilabu vilivyofanikiwa kwa kusajili wachezaji walio na umri wa chini ya miaka 25, kutokana na kuwa na uwezekano wa kukua, lakini pia kuendana na mahitaji ya soka la kisasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live