Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Mamelodi "am'follow" Rais wa Yanga

Hersi Mokwemaaaaa Kocha wa Mamelodi Sundowns Rulani Mokwena

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Kocha wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini Rulani Mokwena @coach_rulani amemfuata (Follow) Rais wa Yanga SC Hersi Said @caamil_88 na CEO wa Manara TV, @hajismanara katika ukurasa wake wa Instagram.

Kocha huyo aliyekuja na kikosi chake hivi karibuni kucheza na @yangasc nchini Tanzania amewafuata baadhi ya watu wengine nchini wanaofuatilia mchezo wa soka.

Watu wengine waliofuatwa na kocha huyo ni Mwandishi wa Manara TV, @therealbertha2 , pamoja na waandishi wengine @hasheem_ibwe , @abissay_stephen na @irene_kilango09 ambao wako katika vyombo tofauti.

Chanzo: Mwanaspoti
Related Articles: