Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Ligi Kuu ajitetea baada ya kichapo cha bao 4

Kocha Hard Rock Kocha wa Hard Rock, Mohammed Chiwanga

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Hard Rock, Mohammed Chiwanga akizungumza baada ya kupata kichapo cha mabao 4-1 kutoka kwa KMKM kwenye mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar.

Kocha wa Hard Rock, Mohammed Chiwanga akizungumza baada ya kupata kichapo cha mabao 4-1 kutoka kwa KMKM kwenye mchezo wa Ligi Kuu Zanzibar. Kocha huyo amesema uzoefu umewaangusha mbele ya Kipanga ambao walikuwa na muda mzuri wa kufanya maandalizi tofauti na wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live