Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Kaizer Chiefs atupiwa virago

Kaizer Coach Kocha Kaizer Chiefs atupiwa virago

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Klabu ya Kaizer Chiefs kumfuta kazi kocha wake mkuu Molefi Ntseki kutokana na matokeo mabaya ambayo wamekuwa wanayopata toka msimu huu umeanza

Hizi Hapa Takwimu za Kaizer Chiefs katika michezo 7:

Vs 1-1 Sundowns

Vs 0-0 Royal AM

Vs 0-1 SuperSport

Vs 1-2 Sundowns

Vs 2-1 Sekhukhune

Vs 0-1 Cape Town City

Vs 0-1 AmaZulu

Michezo 7

Ushindi 1

Sare / suluhu 2

Kupoteza 4

Na sasa klabu hiyo imemtambulisha mwalimu mpya.

Cavin Johnson ndio kocha wao mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Molefi Ntseki. Johnson atasidiwa na Dillon Sheppard,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live