Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Kaizer Chiefs ashambuliwa na Mashabiki

Kocha Kaizer Chiefsa Kocha Kaizer Chiefs ashambuliwa na Mashabiki

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wadau na mashabiki wa ‘timu’ ya Kaizer Chief kutoka South Africa wamemshambulia ‘kocha’ Molefi Ntseki, baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Super Sport United baada ya kupigwa bao 1-0.

Mashabiki walimrushia chupa za maji kocha huyo ambapo ililazimika kutolewa uwachani akiwa chini ya ulinzi wa ‘polisi’ kuzuia wasiweze kumjeruhi.

Mashambulizi hayo yalikuja baada ya ‘timu’ hiyo kutokufanya vizuri tangu ‘kocha’ huyo aingie ikiwa imepata point 8 tu kwenye ‘mechi’ 7 ilizocheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live