Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha KMC amtakia kila la heri Awesu, awaonya Coastal

Moallin Azam DC Kocha KMC amtakia kila la heri Awesu, awaonya Coastal

Wed, 28 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha KMC, Abdi Hamid Moallin, amemtakia kila la kheri aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo, Awesu Awesu ambaye ametimkia Simba SC.

Moallin pia amezungumzia mechi yao ya kesho dhidi ya Coastal Union na amesema wanatamani kuibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza kwao na Coastal kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2024/25.

Pamoja naye ni mchezaji Hance Masoud ambaye anasema msimu huu wanataka kufanya vema zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live