Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Costal Union alia kufanyiwa hujuma na Azam FC

Kocha Costal Union Alia Kufanyiwa Hujuma Na Azam FC.jpeg Kocha Costal Union alia kufanyiwa hujuma na Azam FC

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Coastal Union baada ya kupata sare dhidi ya Azam FC amelalamika kutokupewa uwanja wa Chamanzi kufanyia mazoezi kwa siku mbili.

Kocha Mkuu wa Coastal Union baada ya kupata sare dhidi ya Azam FC amelalamika kutokupewa uwanja wa Chamanzi kufanyia mazoezi kwa siku mbili. Kocha huyo amesema wao Tanga wako vizuri sana, wageni wakija wanawapa kiwanja kufanya mazoezi kila wanapohitaji lakini kwao imekuwa tofauti siku mbili zote ambazo wapo hapa Dar es Salaam hawajapewa uwanja kufanyia mazoezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live