Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Coastal Union awasifia Yanga 'walistahili ubingwa Afrika'

Yanga 699 1024x627.jpeg Kocha Coastal Union awasifia Yanga 'walistahili ubingwa Afrika'

Sat, 27 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa klabu ya Coastal Union David Ouma ameipa heshima klabu ya Yanga kuelekea mchezo wao wa leo wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.

Ouma ameeleza kuwa klabu hiyo ilikuwa na uwezo wa kutwaa ubingwa wa Ligi ya mabingwa Barani Afrika kulingana na aina ya kikosi walicho nacho lakini hiyo haiwazuii wao kufanya vizuri.

"Yanga ni timu iliyokuwa na uwezo wa kubeba Ligi ya mabingwa Afrika, ni timu iliyokamilika."

"Kesho sisi Coastal Union tutatengeneza nafasi zaidi ya Tano, wachezaji wangu wanao huo ubora, tunajua sehemu ambayo tutautawala mchezo."

- David Ouma, Kocha mkuu wa Coastal Union kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live