Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Chelsea hataki kazi

Graham Potter Kuwajibika Graham Potter

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Chelsea Graham Potter ameitosa League One licha ya kuwa Kocha huyo kwa sasa hana kibarua tangu alipotimuliwa Chelsea.

Klabu ya Lyon inayoshiriki ligi juu ya nchi Ufaransa ilikuwa inataka huduma ya kocha Huyu lakini, Potter amekata nafasi hiyo.

Lyon chini ya kocha Laurent Blanc imeanza ligi vibaya wakiwa katika nafasi ya mwisho kwa kufungwa Michezo mitatu na Kuambulia sare moja .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live