Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Chelsea aanza kuita vijana wake

Tosin Adarabioyo.jpeg Tosin Adarabioyo

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tosin Adarabioyo anatarajia kufanya vipimo wiki iyajo kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Chelsea kwa mkataba wa kudumu baada ya mkataba wake na Fulham utakapofikia tamati mwishoni mwa mwezi huu na atajiunga na The Blues akiwa mchezaji huru.

Newcastle pia walikuwa wakihitaji huduma ya Tosin mwenye miaka 26 ameamua kwenda Chelsea ambao wanahitaji beki wa kati baada ya Thiago Silva kuondoka klabuni hapo.

Tosin rai awa England ataenda kukutana na kocha ajaye wa Chelsea Enzo Maresca ambao walifanya kazi Pamoja katika kikosi cha Manchester City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live