Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Cameroon asimamishwa miezi mitatu

Marc Brys X Samuel Etoo  Kocha Cameroon asimamishwa miezi mitatu

Thu, 12 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la soka nchini Cameroon, imemsimamisha kwa muda wa miezi mitatu kocha mkuu Marc Brys Kwa utovu wa nidhamu.

Marin Ndtoungou Mpile na David Pagou ndio ambao wamepewa jukumu la kuiongoza timu ya taifa kwa muda.

Hii inakuja wakati huu ambapo Cameroon inajiandaa na mechi mbili za kufuzu kwa kombe la Afrika dhidi ya Kenya mechi zitakazopigwa tarehe 11 na 15 mwezi Oktoba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live