Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Brentford: Foden atashinda Ballon D'or

Phil Foden Ballon D'or Kocha Brentford: Foden atashinda Ballon D'or

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Brentford Thomas Frank alipokuwa akizungumza na kituo cha habari cha Sky Sports amemtaja kiungo mshambuliaji wa anchester City na timu ya Taifa ya Uingereza Phil Foden kuwa ndiye mchezaji wa Uingereza ambaye anaweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or kwa miaka ya karibuni.

Kocha wa Brentford Thomas Frank alipokuwa akizungumza na kituo cha habari cha Sky Sports amemtaja kiungo mshambuliaji wa anchester City na timu ya Taifa ya Uingereza Phil Foden kuwa ndiye mchezaji wa Uingereza ambaye anaweza kushinda tuzo ya Ballon d’Or kwa miaka ya karibuni. Maoni hayo ya Frank yanaenda sambamba na yale ya beki wa zamani wa Uingereza na Manchester United Rio Ferdinand ambaye aliweka wazi kuwa Foden ni zaidi ya Bukayo Saka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live