Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Brazil ashusha presha majeraha ya Neymar

WhatsApp Image 2022 11 25 At 9.jpeg Kocha Brazil ashusha presha majeraha ya Neymar

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Brazil “Tite” amewatoa hofu mashabiki kuhusu Neymar baada ya kupata jeraha kwenye enka kwenye mchezo wa jana dhidi ya Serbia.

"Msijali, Neymar atacheza Kombe la Dunia. Ataendelea kucheza, unaweza kuwa na uhakika na hilo”. Alisema Tite.

Licha ya Tite kutoa kauli hiyo juu ya Neymar lakini bado vyanzo mbalimbali vimekuwa vikitoa ripoti ya kuwa huenda nyota huyo “Neyrmar” akakosa michoz kadhaa kutokana na jeraha lake kuwa kubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live