Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Bayern achukia kufunga bao 27-0, 'ni chache'

Bayern Trse.jpeg Kocha Bayern achukia kufunga bao 27-0, 'ni chache'

Wed, 19 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amelalamika wachezaji wake kupunguza umakini na kujikuta wakipata idadi ndogo ya magoli kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya FC Rottach-Egern hapo jana.

"Tumeshinda Idadi ndogo ya mabao timu yetu imecheza chini ya kiwango bao 27-0 ni chache sana kipindi cha pili tumekosa ukatili kabisa sijaridhishwa na idadi ndogo ya mabao tuioyapata," amesema Tuchel.

Mpaka halftime Bayern walikuwa mbele kwa mabao 18-0, na mpaka dakika ya 90, Bayern 27-0 FC Rottach-Egern.

Wafungaji;

⚽️ 3" Musiala

⚽️ 5" Gnabry

⚽️ 8" Davies

⚽️ 12" Gnabry

⚽️ 13" Musiala

⚽️ 20" Laimer

⚽️ 22" Tel

⚽️ 26" Tel

⚽️ 28" Tel

⚽️ 28" Mazrouri

⚽️ 31" Upmecano

⚽️ 34" Tel

⚽️ 34" Sane

⚽️ 37" Musiala

⚽️ 41" Tel

⚽️ 42" Musiala

⚽️ 43" Gnabry

⚽️ 45" Musiala

⚽️ 50" Sabitzer

⚽️ 64" Sabitzer

⚽️ 66" Sabitzer

⚽️ 71" Sabitzer

⚽️ 72" Sabitzer

⚽️ 74" Guereirro

⚽️ 84" Gravenberch

⚽️ 86" Coman

⚽️ 90" Sane.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live