Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Argentina akerwa na maswali ya Messi

Lionel Messi Vs Parag Lionel Messi

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina Lionel Scalon amechukizwa na maswali ambayo amekuwa akiulizwa kuhusu muda ambao nyota wake Lionel atastaafu kucheza soka.

Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina Lionel Scalon amechukizwa na maswali ambayo amekuwa akiulizwa kuhusu muda ambao nyota wake Lionel atastaafu kucheza soka. Scalon amesema kama Lionel Messi akiwa sawa anaweza kumtumia kwa asilimia mia na akawapatia matokeo hivyo wanaohoji wajue tu kwamba bado Messi ataendelea kuitumikia Argentina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live