Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Al Ahly azipiga chabo Yanga na Mamelodi

IMG 20240401 WA0003 Kocha Al Ahly azipiga chabo Yanga na Mamelodi

Mon, 1 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Al Ahly, Marcel Koller kupitia ukurasa wake wa Insta story ameshare picha akiwa karibu na TV yake ikionyesha kuwa alikuwa akiufuatilia mchezo kati Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Kwenye picha hiyo ambayo anaoneka alipiga mechi ikiwa kwenye daki Tano za mwisho zilizoongezwa na mwamuzi kocha wa Al Ahly Marcel Koller ameisindikiza na ujumbe unaosomeka "DID YOU ALSO SEE THE GAME" kwa tafsiri "NA WEWE UMEUNAGALIA MCHEZO/MECHI".

Ikumbukwe hata kama ikitokea Al Ahly na Mamelodi Sundowns wakapita kwenye hatua hii hawawezi kukutana kwenye hatua ya Nusu Fainali msimu huu ni mapaka Fainali ikiwa kama wote watapita Nusu fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live