Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Al Ahly aahidi kuimaliza mechi Kwa Mkapa

Kocha Al Ahly Aahidi Kuimaliza Mechi Kwa Mkapa Kocha Al Ahly aahidi kuimaliza mechi Kwa Mkapa

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Al Ahly Marcel Koller ameahidi kuimaliza mechi yao dhidi ya Simba Benjamin Mkapa na hajali kuhusu rekodi ya michezo ya nyuma baina yao.

“Tumejiandaa vyema kuonesha kiwango bora kesho na tunakwenda kushinda kwa kuwa hatujaja kuangalia historia yetu na yao bali kucheza mpira”.

“Hatutacheza kwa ajili ya kusubiri kuumaliza mchezo nyumbani , tutacheza kwa umakini kwa nia ya kuumaliza Mchezo hapa hapa ugenini “

“Nimecheza nao (Simba) mechi (2) na zote tumetoa sare, niliwaona na naweza kusema kuwa wapo kwenye level kama yetu siyo wadogo kwa hiyo hatutawadharau”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live