Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Afrika ya Kusini aiwakia CAF

Hugo Broos LL Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Afrika Kusini Bafana Bafana Hugo Broos

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Afrika Kusini Bafana Bafana Hugo Broos anaiomba na kushauri CAF kuziondoa timu za taifa ambazo Nchi zao zinashindwa kuwa na viwanja vinavyokidhi vigezo vya CAF na kulazimika kucheza michezo yao viwanja vya ugenini huku ni kurudisha nyuma maendeleo ya soka barani Afrika,

Broos anasema timu ya taifa ni mali ya Taifa sio mtu binafsi yeye haamini kama kuna taifa lolote linaweza kushindwa kujenga uwanja utakaokidhi vigezo vya CAF, kuendelea kuruhusu mataifa hayo kutumia viwanja wa mataifa mengine kama viwanja vyao vya nyumbani ni kukumbatia udhaifu"

Je Unakubaliana na kocha mkuu wa Bafana Bafana ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live