Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klopp atoa onyo Man City kutolewa mbio za Ubingwa

Skysports Klopp Guardiola Pep 4436355 Klopp atoa onyo Man City kutolewa mbio za Ubingwa

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ametoa onyo baada ya Manchester City kushindwa kukusanya alama 3 ndani ya mechi 4 mfululizo kwenye Ligi Kuu England (EPL).

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ametoa onyo baada ya Manchester City kushindwa kukusanya alama 3 ndani ya mechi 4 mfululizo kwenye Ligi Kuu England (EPL). "Iwapo kuna mtu atafikiria Man City hawatopambania ubingwa, huo ni utani mkubwa katika historia ya soka."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live