Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klopp atoa neno urejeo wa Luis Diaz Kikosini

Luis Diaz Back From Injury Luis Diaz

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa muda mrefu kutokana na kupata majeraha hatimaye winga wa Liverpool Luis Diaz anatarajiwa kurejea Uwanjani hivi karibuni.

Diaz ambae amekuwa nje ya Uwanja Tangu Oktoba mwaka 2022 baada ya kupata majeraha katika kipigo dhidi ya vinara wa Ligi Arsenal.

Akizingumza Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema;

"Anaoneka yuko vizuri lakini kuungana na timu kwa ajili ya mazoezi bado. ila anaweza kujiunga na mazoezi kamili ya Timu ndani ya wiki mbili zijazo."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live