Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klopp afunguka sababu za Mane, Salah kuwa fiti

Mane, Salah Klopp afunguka sababu za Mane, Salah kuwa fiti

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema nyota wa timu hiyo, Mohamed Salah na Sadio Mane wameendelea kubaki katika ubora wao licha ya kucheza mechi saba za AFCON kwa sababu hawanywi pombe.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema nyota wa timu hiyo, Mohamed Salah na Sadio Mane wameendelea kubaki katika ubora wao licha ya kucheza mechi saba za AFCON kwa sababu hawanywi pombe. Wawili hao walirejea kwenye kikosi cha Liverpool kilichoshinda 1-0 mechi yao ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Burnley Jumapili, licha ya mafanikio yao nchini Cameroon, ambako wote walicheza mechi saba zilizojaa ushindani kabla ya Senegal ya Mane kuifunga Misri ya Salah kwa penalti katika fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live