Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klopp afungiwa EPL

Batch Skysports Jurgen Klopp Red Card 5933048 Jurgen Klopp

Sat, 12 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza Mjerumani Jurgen Klopp amefungiwa mchezo mmoja kutokana na kadi nyekundu aliyopewa mwezi uliopita katika mchezo wa klabu yake dhidi ya Manchester City.

Kwa tafsiri hiyo Klopp atakosekana kwenye mchezo dhidi ya Southampton unaotarajiwa kupigwa katika dimba la AnfieldĀ 

Ikumbukwe awali Klopp alipewa faini ya paundi laki tatu 300,000 kama adhabu ya tukio lake la utovu wa nidhamu lakini Chama cha soka nchini humo kilikata rufaa na hatimaye kocha huyo kuongezewa adhabu ya kufungiwa mchezo mmoja wa Ligi Kuu ya EPL.

Katika pambano hilo Liverpool iliibuka na ushindi wa bao 1-0 bao lililofungwa na mshambuliaji wake raia wa Misri Mohamed Salah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live