Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klopp: Nina uhakika Wataru atasaini Mkataba mpya

KloppEndo 1 Klopp: Nina uhakika Wataru atasaini Mkataba mpya

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana kuonesha kiwango safi katika Fainali ya Kombe la Carabao Cup, Kiungo wa Liverpool Wataru Endo ameonekana kumwagiwa sifa na pengine akalamba mkataba mpya Liverpool.

Akimzungumzia mchezaji huyo mara baada ya Fainali ya Carabao Cup, Klopp anasema;

"Nina uhakika kwamba Wataru Endo atasaini mkataba mwingine wa muda mrefu Liverpool".

"Anaweza kuwa na miaka 31 kwenye pasipoti yake lakini ... yeye ni mashine!".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live