Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klopp: Kila mtu ashinde zake

Darwin Nunez Klopp.jpeg Klopp: Kila mtu ashinde zake

Tue, 16 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp baada ya ushindi wa jana dhidi ya Leicester City amesema kuwa wanachokitazama sasa ni kuhakikisha wananshinda mechi zao zote zilizosalia ili kumaliza wakiwa kwenye nafasi nzuri ya EPL msimu huu.

"Mengine yote hayapo mikononi mwetu lakini tunajua tunatakiwa kushinda michezo yote hadi mwisho wa msimu ili tupate nafasi.

"Nilisema hivi mara kadhaa, ndiyo pengine Newcastle na United hawatuangalii, wanajiaminini sawa.

"Lakini tulikuwa katika hali kama hiyo na unatamani wapinzani wenu washindwe tu, unakuwa na hilo shinikizo kwenye mabega yako”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: