Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klabu ya Pamba yabadili jina, sasa inaitwa...

Pamba FC.jpeg Wachezaji wa Kikosi cha Pamba Jiji (Zamani Pamba FC)

Tue, 25 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hivi karibuni klabu ya Pamba ilikabidhiwa katika manispaa ya Jiji la Mwanza na mkuu wa mkoa Mwanza Amos Makalla na sasa rasmi imebadilishwa jina kutoka PAMBA FC hadi PAMBA JIJI FC.

Hivi karibuni klabu ya Pamba ilikabidhiwa katika manispaa ya Jiji la Mwanza na mkuu wa mkoa Mwanza Amos Makalla na sasa rasmi imebadilishwa jina kutoka PAMBA FC hadi PAMBA JIJI FC. Klabu hiyo yenye maskani yake Jijini Mwanza inashiriki ligi ya Championship Tanzania Bara na ni miongoni mwa vilabu vikongwe hapa nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live