Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klabu iliyomuibua Pele, Maradona yashuka Daraja Brazil

Neymar X Pele Santos yashuka Daraja

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klab ya Santos ya Brazil imeshuka daraja kwa mara ya kwanza Ligi Kuu ya Brazil baada ya Miaka 111.

Santos ambayo ilimuibua Mfalme wa soka dunia Pele na mshambuliaji hatari Neymar sasa itacheza Second Division nchini Brazil.

Wakati Santos wakishuka Daraja, Klabu ya Palmeiras ndio walioibuka Mabingwa wa Ligi Kuu Brazil.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live