Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klabu Bingwa Dunia kushirikisha Vilabu 32

Giannni Infationo 2025 Rais wa FIFA, Gianni Infantino

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA), Gianni Infantino amesema FIFA inakuja na mabadiliko katika uendeshaji wa michuano ya Klabu bingwa ya Dunia.

Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA), Gianni Infantino amesema FIFA inakuja na mabadiliko katika uendeshaji wa michuano ya Klabu bingwa ya Dunia. Mfumo mpya wa Klabu bingwa dunia (Club World Cup) utaanza 2025 ambapo klabu 32 zitashiriki na mfumo wake utakuwa kama wa kombe la dunia, na utarajiwa kuwa wa mvuto tofauti na ilivyo hivi sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live