Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kizuguto alamba ulaji CAF

Baraka Kizugutooooo Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja Mashindano TFF, Baraka Kizuguto ameteuliwa na CAF kuwa Mratibu (General Coordinator) wa mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Jwaneng Galaxy (Botswana) vs Asec Mimosas (Ivory Coast) utakaochezwa Desemba 9,2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live