Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kivumbi Ligi Kuu ya Wanawake kuanza kutimka leo

Simba Queens Wc Kivumbi Ligi Kuu ya Wanawake kuanza kutimka leo

Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite 2022/2023 inaanza kutimua vumbi leo kwa mchezo mmoja wa ufunguzi kufanyika Dar es Salaam.

Mabingwa watetezi Simba Queens ni mwenyeji wa JKT Queens kwenye uwanja wa Mo Simba uliopo Bunju.

Michezo mingine 4 ya ufunguzi itafanyika Desemba 7 katika mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Arusha na Mwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live