Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo wa zamani wa Man United atundika Daluga

Tom Cleverley.jpeg Tom Cleverley

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Manchester United, Tom Cleverley ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 33.

Kiungo wa zamani wa Manchester United, Tom Cleverley ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 33. Cleverley raia wa England alikuwa anachezea klabu ya Watford kabla ya kufikia uamuzi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live