Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo wa kazi Al Ahly atua Saudia

Diend Al Hokood Kiungo Aliou Dieng amejiunga na klabu ya Al Kholood

Sat, 24 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Aliou Dieng amejiunga na klabu ya Al Kholood iliyopanda daraja kwenda Ligi Kuu ya Saudia Arabia (Saudi Pro League) akitokea Al Ahly ya Misri. Dieng (26) raia wa Mali anatua klabuni hapo kwa mkopo wa muda mrefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live