Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo wa Simba apewa "Thank You" Coastal Union

Abdul Swamad Kiungo wa zamani wa Simba SC, Abdilswamad Kasimu almaarufu ‘Azubuti’

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Coastal Union imetangaza kuachana na kiungo wa zamani wa Simba SC, Abdilswamad Kasimu almaarufu ‘Azubuti’.

“The best holding midfield, attacking, full of control, na akili za ziada ni vitu ulivyojaaliwa, ila bad timing. Kuna wakati muda ndio huamua mambo, tunasikitika muda ndio umeamua tuseme “Ahsante” — imesema taarifa ya Coastal Union

Abdilswamad alitua Simba SC akitokea Kagera Sugar mnamo Agosti 2021 kabla ya kutimkia Ruvu Shooting mnamo Januari 2022.

Wagosi wa Kaya pia wametangaza kuachana na nyota kadhaa wakiwemo Yakubu Abdullah, Daud Mbweni, Fran Golubic, Juma Mahadhi na Balama Mapinduzi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live