Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo awakimbia KMC, asaini Namungo

Hamad Majimengi.jpeg Kiungo awakimbia KMC, asaini Namungo

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Ushambuliaji Hamad Majimengi licha ya kusaini Mkataba na klab ya Kmc Ila amefikia maamuzi ya kuachana nao kwa kile kutozingatiwa maslahi yake kwa wakati,

Kiungo wa Ushambuliaji Hamad Majimengi licha ya kusaini Mkataba na klab ya Kmc Ila amefikia maamuzi ya kuachana nao kwa kile kutozingatiwa maslahi yake kwa wakati, Na sasa ameamua kujiunga na klabu ya Namungo FC aliyo saini kandarasi ya Miaka ya Miwili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live