Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Ufaransa atundika daluga

Matuidi Blaise Matuidi

Fri, 23 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa PSG, Juventus timu ya Taifa Ufaransa, Blaise Matuidi ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 35.

“Soka, nilikupenda sana. Soka umenipa mengi, lakini sasa muda umefika wa kusema inatosha. Nimekamilisha ndoto yangu ya utotoni, ndoto yangu ya ukubwani. Najivunia kufunga ukurasa huu leo.” amesema Matuidi.

Matuidi alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichobeba Ubingwa wa Kombe la Dunia nchini Urusi 2018.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live