Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Simba asakwa Coastal Union

Abdallah Hamis Riziki Abdallah Hamis Riziki

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Coastal Union imeonyesha nia ya kuipata huduma ya Mkopo ya kiungo mkabaji wa klabu ya Simba Abdallah Hamis Riziki.

Klabu ya Coastal Union imeonyesha nia ya kuipata huduma ya Mkopo ya kiungo mkabaji wa klabu ya Simba Abdallah Hamis Riziki. Abdallah Hamis Riziki amekuwa akikaa benchi tangu atue katika Klabu ya Simba dirisha lililopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live