Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Newcastle abadilishanajezi kwa Chocolate

Brubo Chocolate.jpeg Bruno Guimarães

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Newcastle, Bruno Guimarães ameonesha uungwana kwa shabiki aliyempatia chocolate kwa kumpa ‘jezi’ aliyokuwa ameivaa baada ya kumalizika kwa ‘mechi’ dhidi ya Aston Villa iliyochezwa siku ya jana Jumanne.

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Newcastle, Bruno Guimarães ameonesha uungwana kwa shabiki aliyempatia chocolate kwa kumpa ‘jezi’ aliyokuwa ameivaa baada ya kumalizika kwa ‘mechi’ dhidi ya Aston Villa iliyochezwa siku ya jana Jumanne. #Bruno alitoa ‘jezi’ hiyo wakati alipokuwa akielekea katika chumba cha kubadilishia nguo, baada ya kutamatika kwa ‘mechi’ ambayo #AstonVilla walipokea kipigo cha mabao 3-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live