Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Muavori Coast aipiga chini Ofa ya Yanga

Abdoulaye Djire Abdoulaye Djire

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka Abidjan nchini Ivory Coast zinaeleza kuwa Klabu ya Abidjan Racing Club imekataa ofa ya Yanga SC, kwa ajili ya kumsajili Abdoulaye Djire.

Klabu ya Abidjan Racing Club imekaa ofa ya Dollars $120,000 sawa na Tsh. milion 300 kutoka kwa Yanga SC kwa sababu Abdoulaye Djiré hataki amekataa ofa hiyo ya kuhamia Tanzania.

Inaelezwa pia Abdoulaye Djire anahitaji kwenda kucheza ulaya kama ambavyo ndoto zake zinavyosema na sio kuendelea kubaki Afrika na kuja Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: