Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Mjapan Geita mambo magumu

Kiungo Geita Kiungo wa Geita Gold Shinobu Sakai raia wa Japan

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Geita Gold Shinobu Sakai raia wa Japan amecheza mechi moja(dakika 46 tu) mpaka sasa ikiwa tayari zimechezwa mechi 26.

Kiungo wa Geita Gold Shinobu Sakai raia wa Japan amecheza mechi moja(dakika 46 tu) mpaka sasa ikiwa tayari zimechezwa mechi 26. Shinobu alijiunga na Geita Gold mwanzoni mwa msimu huu lakini amekuwa hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha Minziro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live