Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Liverpool kukutana na rungu la FA

Alez MacAllisters Charge Kiungo Liverpool kukutana na rungu la FA

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Liverpool Alexis Mac Allister Alexis huenda akapokea adhabu kutoka Chama za Soka nchini Uingereza.

Hii ni baada ya kutoa kashfa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kusema “Tottenham walikuwa wakicheza wachezaji 12 uwanjani."

Licha wa kutoa Mchango huo lakini Muargentina mwenzake Cristian Romero alimjibu kiutani kwa kumwambia "Kalie Nyumbani".

Mac Allister alipatwa na hasira hizo baada ya timu yake kupoteza 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Spurs.

FA inaendelea kufanya uchunguzi ili waweze kutoa maamuzi kwa mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live