Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Ethiopia ajiua siku 10 baada ya kufunga ndoa

Alelegn Azene Best 230513v 1050x580 1 Alelegn Azene

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi ya Ethiopia imekumbwa na Simanzi kufuatia kifo cha Kiungo wa Klabu ya Bahir City ya Ethiopia Alelegn Azene ambaye ripoti zinadai amejiua mwenyewe.

Sababu ya kiungo huyo kujiua bado haijafahamika na hakuwahi kuonyesha dalili zozote za kuwa na changamoto za Afya ya Akili.

Azene alifunga ndoa wiki mbili zilizopita na ndie mchezaji aliekuwa akilipwa mkwanja mrefu Ligi Kuu ya Ethiopia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live