Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Congo astaafu na miaka 25

Antoine Makoumbou Antonie Makoumbou

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo nyota wa timu ya Taifa ya Congo Brazzaville na klabu ya Cagliari inayoshiriki Ligi kuu soka nchini Italy (Serie A) Antonie Makoumbou ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa akiwa na miaka 25 baada ya Congo Brazzaville kupoteza mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwa magoli 4-2.

Kiungo nyota wa timu ya Taifa ya Congo Brazzaville na klabu ya Cagliari inayoshiriki Ligi kuu soka nchini Italy (Serie A) Antonie Makoumbou ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa akiwa na miaka 25 baada ya Congo Brazzaville kupoteza mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia dhidi ya Zambia kwa magoli 4-2. Kiungo huyo alizaliwa nchini Ufaransa na amekuwa mchezaji wa pili wa timu ya Taifa ya Congo Brazzaville kutundika Daluga baada ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Ajman inayoshiriki Ligi kuu ya falme za kiarabu, Presige Mboungou mwenye umri wa miaka 23, kutangaza kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live