Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Brighton nje msimu mzima

Skysports Mitoma Brighton 6471045 Kaoru Mitoma

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Klabu ya Brighton Hove & Albion Roberto De Zerbi amethibitisha kuwa winga wake Kaoru Mitoma atakuwa nje ya uwanja mpaka mwishoni mwa Msimu kutokana na maumivu ya mgongo.

Mitoma,26, alipata majeraha hayo katika mchezo wa ligi kuu nchini England ambapo Brighton walilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Everton wakiwa nyumbani.

" Ni hali mbaya, nadhani tumempoteza Mitoma hadi mwisho wa msimu,".

"Ana jeraha la mgongo, ni tatizo muhimu, atakuwa nje kwa miezi miwili au mitatu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live