Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Azam awatoa udenda vigogo, ataibukia wapi?

Adolph Mutasingwa Itegeko O Kiungo wa kati wa Azam FC, Adolf Mtasingwa

Thu, 6 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkataba wa kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa (24) unaelekea ukingoni katika Klabu ya Azam FC.

Kiungo huyo aliejiunga na Azam FC dirisha dogo amebakiza miezi sita tu katika Mkataba wake wa sasa.

Azam FC wanajipanga kumuongeza Mkataba mpya mchezaji huyo lakini vilabu vikubwa pia vimeonekana kufuatilia suala hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live