Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo Arsenal kutimkia Uturuki

Jorginho Vv Jorginho

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Arsenal Jorginho, 31, amevutiwa na ofa ya Fenerbahce na huenda akajiunga nayo baada ya kuona nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza cha Arsenal imekuwa finyu.

Kiungo wa Arsenal Jorginho, 31, amevutiwa na ofa ya Fenerbahce na huenda akajiunga nayo baada ya kuona nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza cha Arsenal imekuwa finyu. Staa huyu wa kimataifa wa Italia amechukia kitendo cha kutopewa nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha washika mitutu hao wa London.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live