Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kitendawili cha Simu ya Mudathir kinavyochanganya Mashabiki

Mudathir Yahya Simuu Kitendawili cha Simu ya Mudathir kinavyochanganya Mashabiki

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mudathir mwenyewe anasema anapofunga huwa anaipigia simu familia yake. Ni salamu kwa mke wake na mtoto wake mpendwa. Familia kwanza..

Ila kuna another school of thought inasema huwa anawasalimia mabosi wa timu fulani. Kwamba walimpa ahadi ya kumpigia simu kuhusu mkataba lakini wakamchinjia baharini akalazimika kukaa nje miezi sita!

Yanga ndio waliokuja kumrudisha kwenye ramani. Simu yake ni kuwakumbusha kwamba huyu ndie mlikataa kupokea simu zake..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live